Hivi majuzi kulishuhudiwa sintofahamu kati ya waliokua mke na mume, Zari Hassan na aliekua mumewe Diamond Platnumz wakirushiana maneno makali mitandaoni huku lawama ikielekezwa kwa mama watoto kuwa duka ilikua inafunguliwa sana kipindi kile akiwa mke wa mwanamziki huyo.

Akielezea habari hizo, Diamond alitumia mtandao kuelezea uma ni kwa nini waliachana na mkewe huyo mwenye watoto wake wawili. “Wanaume walishawai kuja hadi kwa nyumba yangu. Nikitoka kuenda nchi za nje basi nyuma huku utapata habari.” Alifunguka mwanaziki huyo huku akiwa kwa hali ya majonzi sana.

Upande wake Zari naye alikua na yake ya moyoni kufungukia. Basi cheche ndo zikaanza. “Ni kipi kilikufanya ukaenda kwa huyo mwana mitindo wako, mbona sasa muanze kurogana?” Jiwe hilo lilimlenga sana Mobetto.

Dume lililo kamili halimuongelei mabaya mama ya watoto wake hadharani, Mange Kimambi alifunguka huku akimlaumu sana Diamond na kumuita mwenye akili za kitoto kwani alimlenganisha na msanii mwenza Alikiba huku akisema anangojea kuona hata siku moja kama King Kiba anaeza fanya jambo kama hilo.

(Visited 58 times, 1 visits today)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here