Harmonize hajanisaidia, Hashiki simu zangu, Asema Q Chief…

Kile kilichoonekana udungu wa kufa kuzikana sasa kimeumbuka. Msanii Q Chilla baada ya kuonekana karibu na Harmonize kisha kufanya projects kadhaa pamoja sasa afichua kumshangaa kwa nini msanii huyo kahama Wasafi na kwanini Harmonize kukua na Bifu na Diamond.

“Harmonize hapost kazi zangu wakati mimi nampa surport sana,” aliskika Msanii huyo mkongwe Q Chilla akilalamika. Alipoulizwa mbona yeye anafanya kazi kivyake ilhali hapo mwanzo alionekana akiwa kwa chama la KondeGang kisha alijibu kuwa yeye ni Msanii Huru so ako huru kufanya kazi na mtu yoyote yule.

Skiliza Interview yote hapa. Utashangaa vile alimuongelea Harmonize na team yake:

Source: Bongo5.

(Visited 41 times, 1 visits today)

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *