Manager wa Diamond kugombea ubunge | Sunset Kenya

Taarifa zinzatufikia ni kwamba, Babu Tale, ambae ni manaje wa Msanii Diamond Platnumz amepanga kuchuana na Msanii Profesa Jay ambaye ndie mbuge wa sasa katika jimbo la Mikumi huko Morogoro.

Siku moja tu baada ya Rais John Pombe Magufuli kulivunja rasmi bunge la 11 la Tanzania, Tale amejitokeza kutangaza azam yake kuwania ubunge. Hili linajiri baada ya Msanii Diamond kumshawishi kuwania walipokua kwa tour ya Wasafi Festival mnamo mwaka jana. Video hii hapa:

Lakini hamu yake ya ugombeaji haujapokelewa vyema na watu wote. Msanii Madee ametupia mchanga wa macho kwa hamu hio kwa maandishi haya:

Tegea Uhondo zaidi.

(Visited 10 times, 1 visits today)

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *