Mfahamu Msanii Mpya wa Nyimbo za Injili Grace Hosea – Sunset Kenya

Grace ni mwanamuziki aneyechipuka kwa sasa ambaye anafanya nyimbo zakumtukuza Mungu. Amezaliwa Migori County maeneo ya Awendo ila makaazi yake yapo jijini Nairobi.

Kando na kuwa yeye ni mwanamuziki, yeye pia ni Mchungaji na pia anafanya kazi katika shirika lisilo la serikali la LVCT Health.

Kwasasa Grace ako na albam moja na single mbili. Anatesa sana na wimbo wake mpya unaoitwa NGUVU YANGU ambao ameufanya kwa uelekezi mkuu was Ose Iria kutoka Nigeria.

DOWNLOAD MP3.

Akielezea mipango yake, amesema kuwa, mipangilio ipo yakushirikiana na mashabiki wake kwa kueneza INJILI na pia yupo na project yake ya kuwasaidia wasichana kutoka maeneo ya mabanda on sexual reproductive Health Issues.

Akiongezea amesema
anashukuru Mungu kwa kila kitu, na pia a nashukuru team ambayo inamsaidia ku market kazi zake za INJILI, (YOUNG001ENT) Na Mr Edward Ndari na mashabiki wote, madjs, MA presenter wote anawashukuru kwa sapot Yao na Mungu awabariki.

Amen

(Visited 95 times, 1 visits today)

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *