Younger Strikers ya Dzitsoni, county ya kilifi, yampoteza Striker Dennis. Kifo chake chapelekea wazee wawili wauwawa kwa tuhuma za uchawi – Sunset Kenya

Habari za hivi punde ni kwamba, Younger Strikers wamepigwa na butwaa baada ya kumpoteza mchezaji wao mahiri kwa kifo tatanishi. Tukio hilo limepelekea Wazee wawili kuuwawa kwa tuhuma za kumroga mchezaji huyo.

Habari zinazidi kuchipuka, kwa hivyo tulia tunapoendelea ku gather more information:

From Source, “Denis alikuwa mgonjwa toka juzi jana akazidiwa…Vijana wa hapo kwao wakawa wanamshuku mama flani apo kwa boma…Wakamwambia denis akifa basi wata mmliza pia….morning denis akaaga watu wakamuendea huyo mama wakamkata mapanga…Mtoto wake akawa anamtetea akapigwa nyundo pia akafariki.

More to come.

(Visited 697 times, 1 visits today)

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *