Home GOSSIP Krisimasi ya Mauti! Kijana wa makamo amuua mke wake kisha kujitia kitanzi...

Krisimasi ya Mauti! Kijana wa makamo amuua mke wake kisha kujitia kitanzi huko Igembe Kazkazini.

Jamaa wa Umri wa makamo upande wa Meru, Igembe Kaskazini, amejitia kitanzi baada ya kumnyonga Hadi kifo bibi yake; ambapo wamekaa kwa ndoa kwa miaka zaidi ya tano sasa.

Inaamninika wawili hawa wamekuwa wakiishi Mombasa na hivi majuzi wakatembea nyumbani kwa sherehe za krisimasi Hadi leo siku ya tukio hili.

Nduru na vilio za watoto ndivyo vilivyowaita wanakijiji na walipofika wakapata kwamba jamaa baada ya kumtendea bibi yake unyama huu, naye kashaaga dunia.

Sauti za kuaminika zasema kwamba bibi wa jamaa huyu pamoja na watoto ndio waliotangulia nyumbani mwanzo alafu jamaa akafika wiki moja baada yao.

Kulingana na familia na majirani wa wawili hawa inasemekana kwamba kwa miaka iliyopita wamekuwa wakija nyumbani na kuregea tena Mombasa na akuna siku hata moja wamekorofishana au Sauti zao kusikika kwa wanakijiji.

Sababu haswa za marehemu kutekeleza kitendo hiki haijafahamika.

Tegea tunapozama zaidi ili kukuletea tukio hilo.

Previous articleAUDIO | Uko na D – Quincy Kesh x STI Key | Mp3 Download
Next articleAUDIO | Hera Nyalo Sandi – Brizy Annechild | Mp3 Download