Home ENTERTAINMENT Kumekuchaaa! RAYVANNY Amvua nguo HARMONIZE “Umemtumia PICHA za UTUPU PAULA Wewe ni...

Kumekuchaaa! RAYVANNY Amvua nguo HARMONIZE “Umemtumia PICHA za UTUPU PAULA Wewe ni MTU wa aina gani?”

0

Fahali wawili wapiganapo wahenga walisema ni nyasi ndo ziumiazo lakini kwa kauli hii sisi tunapinga.

Harmonize alikua mwendani wa karibu sana wa Rayvanny kitambo mpaka wakavalia kama PSquare kwa nyimbo yao moja iitwayo Paranawe.

Undugu ama urafiki wao umezungukwa na msuko suko hii ni baada ya Harmonize kuiasi na kuihama nyumba iliomjenga, nikiongelea WCB ya Diamond.

Mapenzi ya Harmonize na Kajala yakaleta ugomvi baina ya mastaa hao wa bongo fleva punde pale kipande cha video kilichovuja kikimuonesha Rayvanny akimtekeleza Paula ambae ni mtoto wa Kajala. Katika kipande hicho cha video, Chui ambae ni Rayvanny kwa jina la utani alionekana akimtendea Paula jambo ambalo halikubaliki ukikumbukwa kua Paula ni mtoto wa shule.

Kwa upande wa Harmonize alikejeli na kukemea tukio hilo huku akivaa Ubaba ndani yake na kuonesha jinsi gani alifedheheshwa na jambo hilo.

Matukio ya hivi karibuni yameshangaza jamii kwani “ndoa” ya Kajala na Harmonize imeyumba chini ya majuma matatu baada ya kuvuja kwa kipande cha video cha Rayvanny na Paula.

Kitu kinacho shangaza zaidi ni kwamba, Paula na Harmonize ndo chanzo cha Kajala kuachana na Harmonize. Hivi ni baada ya Kajala kuona jumbe za Harmonize akimbembeleza Paula kuwa naye kimwili. Tetesi zilindelea kuwa tetesi mpaka pale Vanny Boy alipoamua kueka hadharani tukio zima.

Ustaa ni gharama, Rayvanny hakukoma hapo kwani aliamua kuleta hata jumbe zenyewe uraiani ili kila mtu aone jinsi gani Harmonize alikosa nidhamu na kujidhalilisha mbele za watu.

Je, jambo hili walizungumziaje? Tiririka tukuskie.