Home AUDIO Mange Kimambi Amtolea Rayvanny Povu Kwa Uvujaji wa Screenshots

Mange Kimambi Amtolea Rayvanny Povu Kwa Uvujaji wa Screenshots

0

Mwanadada mpekuzi na mwanaharakati anaye ishi kule Los Angels, Mange Kimambi mzaliwa wa Tanzania amemfokea na kumkemea msanii Rayvanny kwa kuvujisha jumbe walizotumiana Paula na Harmonize.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kimambi alimuomba Rayvanny azifute jumbe hizo kwani anamdalilisha ‘Mpenzi wake’ Paula kwani kwenye jumbe hizo ni dalili Harmonize na Paula tayari walishawahi kuwa wapenzi hapo nyuma.

Hivi hizi text zilitakiwa kumdhalilisha Harmonize au Kumzalilisha yule mtoto?

Kwa hizi text it’s clear Harmonize ameshatembea na Paula alichotaka ni kwamba waendelee kufanya mambo yao behind Kajala’s back.

Hizi message sio kwamba anamtongoza kwa mara ya kwanza ila anamuomba waendelee wasiache sababu yuko na mama mtu. Ni kwamba Paula alivyoona Harmo anamla mamake akawa hataki tena.

Kwa kibongo bongo Harmonize ataonekana kidume, Je Paula? So far mmemwanika kuwa katiwa na Hamornize pamoja na RayVanny. Yani mmemwanika kuwa ameshare dudu na mamake.
.
Anyways, let me say this wakulaumiwa hapa ni Kajala. Haki Kajala hana akili hata robo. Kwa hiyo kujiliza lote kule majuzi sasa hivi kamkabidhi RayVanny yule mtoto mazima. Huko Dubai wamepelekwa na RayVanny mjue? Na mama mtu anatikisa na matako anaenjoy pesa ya mkwe 🤦🏽‍♀️

Kisha hakukomea hapo, aliendelea kukemea tukio hilo kwa ujumbe mzito sana akiwaomba wasanii wakue na nidhamu kwani Raisi wao wa sasa ni Mwanamke hivyo basi wanaombwa kumpa Heshima.

Zogo liendelee ama lisitishwe?