Home ENTERTAINMENT MSANII SUSUMILA KUINGIA KWENYE FILAMU!

MSANII SUSUMILA KUINGIA KWENYE FILAMU!

0

Mwanahabari na muigizaji wa filamu nchini Bi Aisha Abushiry maarufu kama @MAMA MADIKODIKO amedokeza kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba, karibuni wataachia filamu ambayo inamshirikisha Msanii Susumila kutoka #001 MUSIC

Na Lemmy Lito Sogohe

Facebook Comments Box