Home LIFESTYLE “Naeza Kunywa Maji Litre 2 alafu niirudishe kwa chupa.” Kijana ashangaza ulimwengu...

“Naeza Kunywa Maji Litre 2 alafu niirudishe kwa chupa.” Kijana ashangaza ulimwengu (+VIDEO) – Sunsetkenya

0

Kutana na Victor Maina mkaaji wa Kamkunji Eldoret mwenye uwezo wa kunywa maji lita mbili (2) kisha aweze kuyaregesha maji kwa chupa zake. Kitendo hichi si wengi wanaweza kufanya ila Maina, ameweza kuwashangaza walimwengu kwa tukio hili. Hebu tizama VIDEO hii:

Wakenya wameonesha kushangazwa na jambo hilo huku wengine wakitupia utani kwa comment box.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here