Home HEALTH ONYO KUTOKA POLISI

ONYO KUTOKA POLISI

0

Kuna watu wanapita mitaani wanagonga milango ya nyumba na wanawagaia watu masks za bure na kudai kuwa zinatolewa na serikali.

Watu hao huwaambia wakazi wa nyumba hizo kwamba wanahitajika kuzivaa ili kuhakikisha kuwa kipimo ni sawa.  Mask hizo zimejazwa kemikali ambazo husababisha kukosa fahamu na watu wanapopoteza fahamu, huibiwa vitu kutoka kwenye nyumba zao.

Tafadhali usikubali masks kutoka kwa mgeni yeyote na uchukue tahadhari. Kumbuka, tunaishi wakati mgumu, na kuna watu wanajaribu kutumia hali hiyo kupata pesa.

Kiwango cha uhalifu kimeongezeka sana wakati huu na tafadhali tuma ujumbe huu kwa familia yako, ndugu, jamaa na marafiki zako, ili kuwasaidia kupata uelewa wa suala hili.

Facebook Comments Box