Home AUDIO Roma Mkatoliki ampiga kavu Diamond na Wasafi Media

Roma Mkatoliki ampiga kavu Diamond na Wasafi Media

Roma Mkatoliki ni msanii wa bongo fleva anaijulikana sana kwa miondoko yake kufoka na kukemea serikali kwa mienendo yake.

Ikumbukwe, kuna wakati ambao, Roma alitekwa pamoja na rafikiye kisha wakafichwa na watu wasiojulikana.

Kupitia kwa ukurasa wake wa Instagram, Roma aliandika maneno haya, ambayo kwa mtaarifa wa haraka, yalionekana kumlenga Diamond na team yake.

✍️Sio Kwa Nia Mbaya, Ila Ni For The Love Of The Game!! Na Hata Wanaofanya Hizi Events Za Bure Kiukweli Nawapongeza Sana Na Nawaunga Mkono, Coz Wanatengeneza Ajira Kubwa Na Kuwapa Platform Wasanii Wetu 💪
.
.
Lakini Ni Kama Inazidi Kuwa TooMuch Sasa, Ukitazama Huu Mwaka 2020,Mbali Na Swala La Corona Lakini Events Nyingi Mashabiki Wametuona For Free!! Isiwe Too Much Sasa, Tutaharibu!!
.
.
Shabiki Ukimzoesha Kuona Wasanii 20 For Free, Tena Mara Kwa Mara, Utakuja Kutumia Nguvu Kubwa Sana Kumshawishi Siku Kuingia Kwenye Show Ya Wasanii 5 Kwa Tsh 10,000/=
.
.
TUNAUA GAME WANA!!
TUNATENGENEZA UTAMADUNI MBAYA SANA!!
Sijui Kama Na-make Sense Lakini 🤷‍♂️

Wasafi Media, pamoja na team nzima ya WCB walikua wameandaa Tamasha la Wasafi lilojulikana kama Tumewasha, tamasha amabalo lilihudhuriwa na maelfu ya watu.

Kwa tamasha hilo wasanii wengi walihudhuria na kutumbuiza mashabi peupe hali ambayo imekemewa sana na Msanii Roma.

PIA SOMA: Kimaajabu Vile! Gari la Kubebea Maiti Lawaka Moto Mwili Ukiwa Ndani

Je, maneno ya Roma yataleta mabadiliko kwa tasnia ya Mziki Tanzania?

Previous articleVIDEO | Pamoja Tunasonga Mbele – Coast Artistes | Mp3 Download
Next articleSusan Namu, Mkorino Gospel Singer Sex Tape Leaked (+VIDEO)