Home GOSSIP Shuruti ya kwenda shule yasababisha maafa Embu.

Shuruti ya kwenda shule yasababisha maafa Embu.

0

Wakaaji Kijiji cha Kiang’ondu Kaunti ya Embu wapo kwenye majonzi baada ya mwanafunzi Wa kidato cha pili shule ya St Anne’s Kiriari kujitia kitanzi ndani ya bafu.

Kisa hiki cha kuhuzunisha kimetokea wakati mwanafunzi huyu alikuwa akijitayarisha kurejea shuleni.

Baada ya kukawia Sana ,wazazi wake walienda kumwangalia wakapata msichana huyo amejitia kitanzi kutumia leso aliyobeba bafuni.

Kiini cha marehemu kujitoa uhai hakijafahamika.

Facebook Comments Box