Home EDUCATION Wanafunzi 26 Waponea chupuchupu baada ya basi lao la shule kubingirika

Wanafunzi 26 Waponea chupuchupu baada ya basi lao la shule kubingirika

0

Basi la shule ya msingi ya Kaaga iliyoko Imenti Kaskazini, Kaunti ya Meru kupata ajali ya barabarani. Wanafunzi ishirini na sita kuponea chupuchupu.

Kulingana na habari kutoka kwa walioshuhudia ajali hio, inasemekana kwamba dereva wa basi hilo alikuwa kwenye mwendo wa kasi sana na alipokaribia kwenye kona ndipo basi hilo lilipopoteza mwelekeo na kubingirika.

Waliojeruhiwa walikimbizwa katika hospitali ya Rufaa ya Meru ili kupokea matibabu, bali hakuna kifo kilichotokea katika ajali hio.

Facebook Comments Box