Home TRENDING Wizi wa mifugo Meru! Wenyeji wajawa na Jazba kisha kuteketeza probox

Wizi wa mifugo Meru! Wenyeji wajawa na Jazba kisha kuteketeza probox

Kupitia mtaarifu wetu kaunti ya Meru, kumekua na wizi wa mifugo kwa mda sasa ambao umekosesha wenyeji amani kwa mda sasa.

Tukio la jana usiku limetamausha wengi, kijijini Kogore, Wilaya ya Nyaki Magharibi, kaunti ya Meru ambako wana kijiji waliwafumania wezi hao wakiweno ndani ya gari aina ya Probox walio jihami tayari kufanya wizi wa ng’ombe.

Baada ya kamsa na nduru, wezi walifumaniwa kisha kutoroka kuacha gari lao waliokuwemo.

Mzee aaga baada ya kubugia Viagra kisha kukosa Mnofu Migori.

Jazba iliwapanda wenyeji kisha wakaamua kuteketeza gari hilo.

Habari ilifikishwa police kisha wenyeji wakaandikisha taarifa ili jambo kama hilo likitokea tena basi wahusika washikwe na kupelekwa mahakamani.

Roma Mkatoliki ampiga kavu Diamond na Wasafi Media.

Kwa gari kulipatikana silaha kadhaa ambazo zingetumika kukabiliana na wenyeji punde wanapotiwa mbaroni.

Previous articleEric Omondi is something else. See this one (+VIDEO)
Next articleAUDIO | Joefes x Fathermoh x iPhoolish – SHAMRA SHAMRA ft Mejja | Mp3 Download